DETAILS OF SWAILI FASHION WEEK 2011

DETAILS OF SWAILI FASHION WEEK 2011

 Swahili Fashion Week, East and Central Africa largest fashion event, now in its Fourth year, will be held at The National Museum  on the 10th, 11th and 12th November 2011 in Dar Es Salaam, Tanzania.

  “This year we have grown tremendously as we taking it to higher heights as the pre event show of Swahili Fashion week will be held in Arusha referring it as the headquarters of East African community, and then later the main event to be held in Dar es Salaam, so long as we opening fashion to new audience and keeping the tradition of being the first in achieving different goals in fashion industry.” Stated Mustafa Hassanali

 This year the pre event show will be held at New Mount Meru on the 8th Oct 2011 from 8pm onwards courtesy in Mount Meru Hotel who are graciously hosting this event

“with more than 15 designers  from all over Tanzania showcasing their collection, there shall also be some entertainment from a renowned artist in Tanzania , as part of an outreach programme of taking the work of Tanzanian and East African Designers more regionally”, stated

 As we expands our wings Swahili Fashion Week recognises different angles of raising awareness of Fashion and its related industries s around it, and for the first time in the history of fashion in East and Central Africa, Swahili Fashion Week launch  Swahili Fashion week Awards, in recognition of various stakeholders in the industry as well as people around it.

The public will be allowed to   judge by casting their votes and the winners who will be audited by PKF Tanzania will be awarded during the awards ceremony on 12th Nov 2011. Some of the categories this year are, Best Male Model of the Year, Best Designer of the year, Best Female model of the year, Best Promising Upcoming Designer, and alike.

 “Without forgetting  the presence of the young generation in Tanzania, for the first time Swahili Fashion week shall launch the T-shirt graphic  design competition aimed at engaging the young and their creativity as part of expanding our fashion family especially when we celebrating our 50 years of independence”, added Gillian Rugumamu

“With our Ambitious plan to promote the Business of Fashion in the region, I would like to thank all our Partners, some of whom have supported us from the past previous Years to-date and would like to Urge Various Organisation and Companies to come forward to support Our initiative by sponsoring this years Swahili fashion week “Concluded Public Relation Officer Enstenium Mgimba

 Swahili fashion week 2011 has been sponsored by the home of Swahili Fashion Week – Southern Sun, EATV, East Africa Radio, Precision Air, BASATA (Baraza La Sanaa Tanzania), Amarula, Ultimate Security, REDD’S original, Image Masters, Global Outdoor Ltd, Vayle Springs Ltd, Eventlites, Nipashe, Perfect Machinery Ltd, Michuzi blog, PKF Tanzania, New African Woman and 361 Degrees.

ABOUT SWAHILI FASHION WEEK

 Swahili Fashion Week is a fast growing platform for fashion and accessory designers from Swahili speaking countries and the African continent to showcase their talent, market their creativity and network with clientele and the international fashion industry. This is all aimed at emphasizing to the region that fashion is an income generating creative industry, meanwhile promoting a “Made in Africa ” concept.

Swahili Fashion Week is NOW the largest annual fashion platform in East and Central Africa , to date. In its fourth year, Swahili Fashion Week will be celebrating Tanzania ’s 50 years of Independence , by bringing together 50 designers from Tanzania , Its neighbouring countries and rest of the world in celebrating its “UHURU”.

Having initiated a dynamic and promising platform for the fashion industry in the region, Swahili Fashion Week is now geared towards being the most sought out after fashion platform in Africa for the international market founded, created and conceptualised in year 2008 by Mustafa Hassanali.

                                                                      

For more information visit: www.swahilifashionweek.com

                                   

UFUNGUZI WA SWAHILI FASHION WEEK KUZINDULIWA ARUSHA

TUZO ZA KWANZA ZA UBUNIFU WA MAVAZI AFRIKA MASHARIKI NA KATI KUZINDULIWA LEO

MASHINDANO YA KWANZA YA UBUNIFU WA TISHETI KUFANYIKA TANZANIA

Swahili Fashion Week ni maonyesho makubwa yatakayohusisha Afrika mashariki na kati. Kwa mwaka wake wa nne sasa Swahili Fashion Week itafanyika National Museum tarehe 10,11 na 12 Novemba 2011 Dar-es-salaam Tanzania .

“Mwaka huu tumekuwa zaidi na katika kuthibitisha hili Wiki ya maoneshoya mavazi  ya Swahili inapeleka maonesho hayo kwa mara ya kwanza kabisa Arusha ambapo ni makao makuau ya umoja wan chi za afrika na baadae onesho lenyewe kufanyika jijini Dar es Salaam, tukiwa na lengo kubwa la kuongeza uelewa wa mavazi, na daima kuwa wa kwanza kutimiza malengo mbalimbali katika tansia nzima ya mavazi,.” Alisema Mustafa Hassanali

Mwaka huu maonesho ya mwanzo yatafanyika katika hoteli ya Mount Meru tarehe 8 Oktoba 2011 kuanzia saa mbili usiku kwa namna ya kipekee kutoka kwa wenyeji wetu Hoteli ya Mount Meru .

 “Katika maonesho haya wabunifu zaidi ya 15 kutoka sehemu mbalimbali Tanzania wataonesha mavazi yao vilevile kutakuwa na burudani kali kutoka kwa wasanii wa hapa hapa nyumbani nah ii ni katika kukuza kazi za wabunifu wa Kitanzania na Afrika Mashariki mikoani alimalizia.” Hassanali

.

Katika kutanua wigo wanMaonesho ya wiki ya mavazi ya Swahili imeona njia mbalimbali za kukuza mavazi ya kinyumbani na watu wazungukao tansia hii ya mavazi na kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya maonesho ya mavazi Afrika Mashariki na Kati inazindua rasmi tuzo za maonesho ya wiki ya Swahili katika kuwatambua wadau mablimbali wa tansia hii na wale wanaoizunguka pia.

Katika tuzo hizi wananchi wataruhusiwa pia kufanyaa maamuzi katika tuzo hizi ambapo watapiga kura kupitia vyombo mbalimbali na kura hizo zitahakikiwa na PKF Tanzania na washindi watatunzwa tuzo hizo katika tafrija ya utoaji wa tuzo za wiki ya mavazi  ya swahili itakayofanyika tarehe 12 Novemba 2011 na baadhi ya kategori zinazoshindaniwa ni pamoja na Mbunifu bora wa mwaka wa mavazi, Mbunifu bora wa mavazi anayechipukia, Mwanamitindo bora wa mwaka wa kike, na Mwanamitindo bora wa mwaka wa kiume na zinginezo

“Vilevile bila kusahau uwepo wa kizazi kipya nchini Tanzania, kwa mara ya kwanza pia maonesho ya wiki ya Swahili itazindua shindano la utengenezaji na ubunifu wa tisheti huku lengo kuu likiwa kuhusisha vijana na ubunifu wao katika kukuza na kuendeleza familia yetu kimavazi hasa tukizingatia kwa mwaka huu tunasherekea miaka 50 ya Uhuru.” aliongezea Meneja mradi wa Wiki ya maonesho ya mavazi ya Swahili Gillian Rudumamu

“Tunamalengo ya kutangaza biashara ya mitindo katika mataifa mbalili. Ningependa kuwashukuru washirika wetu wote,na wale wote waliotuunga mkono kuanzia miaka ilioyopita na hata sasa.Na pia ningeomba kutoa wito kwa jumuiya na mashirika mbalimbali kutuunga mkono mwaka huu katika maonesho ya mavazi ya wiki ya Swahili.”alisema Afisa habari na mahusiano Enstenium Mgimba 

Swahili fashion week 2011 imedhaminiwa na ,the home of Swahili Fashion Week – Southern Sun, EATV, East Africa Radio, Precision Air, BASATA (Baraza La Sanaa Tanzania), Amarula, Ultimate Security, REDD’S original, Image Masters, Global Outdoor Ltd, Vayle Springs Ltd, Eventlites, Nipashe, Perfect Machinery Ltd, Michuzi blog, PKF Tanzania and 361 Degrees.

KUHUSU SWAHILI FASHION WEEK

Swahili fashion week ni jukwaa la wabunifu wote katika mavazi na vito kutoka katika nchi zinazozungumza lugha ya Kiswahili na kuonesha ubunifu wao, kutangaza sanaa zao ili kupata wateja wa bidhaa zao. Hii yote imelenga katika kukuza sanaa ya maonyesho ya mavazi na kujipatia kipato, kutengeneza ajira ili kuhamasisha katika lengo la kuwa na (Bidhaa kutoka Afrika Mashariki)

Swahili Fashion Week ni maonyesho makubwa yatakayohusisha Afrika mashariki na kati, . Kwa mwaka wake wa nne sasa Swahili Fashion Week itasheherekea miaka 50 ya Uhuru kwa kuleata pamoja wabunifu 50 kutoka Tanzania ,nchi za jirani na duniani kote katika kusheherekea siku yake ya UHURU.

 Kwa  kuanzisha kitu cha tofauti na chenye kuleta matumani katika ubunifu wa jukwaa la maonesho ya mavazi, Swahili fashion week imekua moja ya tamasha kubwa la maonesho ya mavazi kwa ukanda wa Afrika na soko la kimataifa, mtazamo  wa 2008 kutoka kwa Mustafa Hassanali.

                                                                       Kwa taarifa zaidi pitia : www.swahilifashionweek.com

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.